Ijumaa, 14 Julai 2017

TANROADS inaendelea na miradi 54 nchi nzima (Tanzania)

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mpaka sasa inaendelea na miradi ipatayo 54 nchi nzima. Miradi hiyo mingi ni ujenzi wa barabara kiwango cha rami. Kulingana na mtadao wa Tanroads unaonesha kwamba ipo miradi ilikamilika, inayoendelea na mingine ipo katika maandalizi.
Ujenzi wa barabara kiwango cha rami


Mpaka sasa wakala wa barabara Tanroads imekamilisha miradi mingi na kufanya sehemu ambazo zilikuwa hazifikika kufikika. Tanroads imejenga barabara na madaraja mengi nchini.

Ifuatayo chini ni orodha ya miradi inayoendelea:-


#NameLength (km)Signing DateContract Sum (Bil)
1UYOVU - BWANGA45.0022/10/201243.357
2BWANGA - BIHARAMULO67.0022/10/201257.756
3KALIUA - KAZILAMBWA56.0027/03/201358.563
4KIA - MERERANI26.0012/02/201532.214
5SUMBAWANGA - MATAI - KASANGA PORT110.0008/09/2009133.287
6KYAKA - BUGENE59.1030/07/201064.96
7TABORA - NYAHUA85.0030/07/201093.402
8MAKUTANO - NATTA50.0005/04/201346.138
9USAGARA - KISESA16.0026/03/201317.898
10SUMBAWANGA - KANAZI75.0015/06/200978.841
11KANAZI - KIZI - KIBAONI76.6015/06/200982.842
12SITALIKE - MPANDA36.9022/10/201237.097
13MPANDA - IFUKUTWA - VIKONGE35.0029/07/201657.871
14BULAMBA - KISORYA50.0005/11/201351.281
15MAGOLE - TURIANI48.6017/06/200941.891
16USHIROMBO - LUSAHUNGA110.0018/08/2009114.557
17SIBITI BRIDGE(not set)07/08/201216.302
18SIBITI BRIDGE(not set)07/08/201216.302
19KILOMBERO BRIDGE(not set)24/10/201253.214
20KILOMBERO BRIDGE(not set)24/10/201253.214
#NameLength (km)Signing DateContract Sum (Bil)
21KILOMBERO BRIDGE(not set)24/10/201253.214
22KILOMBERO BRIDGE(not set)24/10/201253.214
23KIDAHWE - KASULU50.0024/03/201441.88
24NYAKANAZI - KIBONDO50.0027/04/201445.985
25TABORA - SIKONGE30.0031/03/201428.645
26KIMARA BARUTI - MSEWE2.5004/04/20145.725
27KILUNGULE EXTERNAL (EXTERNAL - MAJI CHUMVI)3.0001/04/20147.777
28KIFURU - KINYEREZI4.0004/04/20148.765
29TABATA DAMPO - KIGOGO1.6001/04/20144.389
30MWIGUMBI - MASWA50.3012/02/201561.462
31KIKUSYA - IPINDA - MATEMA34.6027/04/201556.911
32DODOMA UNIVERSITY10.0023/08/201315.629
33MTWARA-MVINATA50.0019/01/201789.59
34SANYAJUU-ALERAI32.2018/08/201652.194
35MAYAMAYA - MELA99.3502/12/2013100.143
36MELA - BONGA88.8002/12/201383.37
37ARUSHA - HOLILI56.5006/12/2015139.346
38MAFINGA - NYIGO70.5013/03/201576.987
39UBUNGO INTERCHANGE(not set)22/02/2017177.42
40NYANGUGE - MUSOMA
#NameLength (km)Signing DateContract Sum (Bil)
41BARIADI - LAMADI71.8009/09/200967.409
42MANYONI - ITIGI - CHAYA89.3030/07/2010109.643
43BAGAMOYO - MSATA64.0011/08/201089.608
44DODOMA - MAYAMAYA43.6528/06/201040.61
45NDONO - URAMBO52.0030/07/201059.764
46GOBA - MBEZI MWISHO7.0004/04/201413.231
47TANGI BOVU - GOBA9.0004/04/201416.436
48MBUTU BRIDGE(not set)27/04/201210.457
49KOROGWE - MKUMBARA76.0026/01/201262.866
50MANGAKA-NAKAPANYA70.5017/06/201464.75
51MANGAKA-NAKAPANYA70.5017/06/201464.75
52MANGAKA -MTAMBASWALA65.5030/11/-000159.666
53KILIMASERA - MATEMANGA LOT B68.2030/04/201470.414
54MATEMANGA - TUNDURU58.7017/02/201457.917
Unaweza kutembelea mtandao wa TANROADS na kujionea maelezo zaidi:-


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni