Ijumaa, 14 Julai 2017

Dar es Salaam ni namba 4 katika orodha ya majiji 10 Africa yanayofaa kuishi

Jiji la Dar es salaam linaendelea kuvutia watu wengi sana. Limezidi kupanda na sasa limeshika namba 4 katika orodha ya majiji kumi Africa yanayofaa kuishi. Huku jiji la Cape Town Africa ya Kusini likishika nambari moja.

Jiji la Dar es salaam
Kutoka kwenye mtandao wa Answers Africa umetoa orodha hiyo na kulitaja jiji la Dar es salaam kuwa ni la nne.

Hii hapa chini ni orodha ya majiji hayo:-
No.
Jina la Jiji
Nchi
1.
Cape Town
Africa ya Kusini
2.
Johannesburg
Africa ya Kusini
3.
Nairobi
Kenya
4.
Dar es salaam
Tanzania
5.
Gaborone
Botswana
6.
Accra
Ghana
7.
Windhoek
Namibia
8.
Akwa Ibom
Nigeria
9.
Libreville
Gabon
10.
Tunis
Tunisia

Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea tovuti hii hapa chini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni