Jumanne, 18 Julai 2017

Korea ya Kaskazini ndio nchi yenye uwanja unaobeba watu wengi duniani

Korea ya kaskazini ndio nchi  duniani yenye uwanja unaobeba watu wengi duniani. Kiwanja cha "Rungrado May Day Stadium kilichopo Pyongyang kinauwezo wa kubeba watu 150,000.

Image result for Rungrado May Day Stadium

Soma zaidi hapa:
The Largest Football (Soccer) Stadiums In The World

Hii hapa ni orodha ya viwanja kumi vikubwa duniani

RankStadiumCapacityLocation
1Rungrado May Day Stadium150,000Pyongyang, North Korea
2Camp Nou99,354Barcelona, Spain
3Estadio Azteca95,500Mexico City, Mexico
4Azadi Stadium95,225Tehran, Iran
5FNB Stadium94,736Johannesburg, South Africa
6The Rose Bowl92,542Pasadena, USA
7Wembley Stadium90,000London, UK
8Gelora Bung Karno Stadium88,083Jakarta, Indonesia
9Bukit Jalil National Stadium87,411Kuala Lumpur, Malaysia
10Borg El Arab Stadium86,000Alexandria, Egypt






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni