Mfuko wa Udhamini wa Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere
unaosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), unatangaza kutoa nafasi za
udhamini (scholarships) kwa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2017/18.
Ufadhili huu, unalenga kuongeza hamasa na ufaulu kwa wanafunzi wa kike
hapa nchini katika masomo ya Hisabati na Sayansi. Unajumuisha gharama
zote za ada, pesa za kujikimu, mafunzo ya vitendo na vifaa vya kujifunzia
ikiwemo kompyuta mpakato (Laptop).
|
Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere |
Pakua hapa form ya Tangazo hilo kutoka BoT
Tangazo la Udhamini
Pakua maelezo mengine hapa kutoka mtandao wa BoT:-
Maelezo ya Jumla
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni