Jumapili, 16 Julai 2017

Sehemu 10 Unapaswa Kutembelea Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zilizo na vivutio vingi ulimwenguni. Katika video hii utapata maeneo muhimu zaidi unapaswa kutembelea katika maisha yako.

Utalii wa Tanzania unaendelea kukua kwa kasi.



Maoni 1 :

  1. Nakubaliana nipo tayari kutembelea kupanua ufahamu wa historia.

    JibuFuta